Wabunge kutoka eneo la magharibi mwa Kenya sasa wanapendekeza ripoti ya uchunguzi wa sukari ya magendo iliyotupiliwa mbali bungeni alhamisi iliyopita irejelewe upya katika bunge la kitaifa. Hii ni kufuatia madai kuwa wabunge walihongwa kufanya hivyo. Wabunge hao tayari wamemwandikia barua spika justin muturi. Francis gachuri anatupasha mengi kuhusu cheche hizi za mlungula bungeni
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
Ещё видео!