Kwanini tunaendelea kuandamwa na umaskini? Majibu yanaweza kuwa mengi. Mwingine atasema kwamba mimi nimezaliwa maskini, wazazi wangu hawakuwa na uwezo. Kuzaliwa maskini hakukuamrishi uishi na ufe maskini. Sio kosa lako kuzaliwa maskini, lakini litakuwa kosa lako ukifa maskini. Yapo mambo chungu mzima yanayotufanya tuendelee kuchomwa na jua kwa umaskini. Lakini chukua muda kuyasoma haya Mambo haya 15 kwenye kitabu hiki ninayoamini kuwa yapo ndani ya uwezo wetu kuyaepuka na hatimaye kujinasua kutoka kwenye umaskini usionesha dalili ya kukuacha
Ещё видео!