SIKIA MAJIBU ya FATMA KARUME BAADA ya KUSIMAMIA KESI ya FEISAL - ''ANA HAKI, MUULIZENI MAMA YAKE''
LEO kesi kimkataba inayomuhusisha Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Yanga, inatarajiwa kutolewa ufafanuzi leo Alhamisi kwenye ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ilala jijini Dar es Salaam.
Hiyo ni baada ya Fei Toto kuomba ‘review’ juu ya majibu ambayo yalitolewa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF.
Kamati hiyo ilitoa uamuzi juu ya shauri lililowasilishwa na Yanga baada ya Fei Toto kuvunja mkataba ikielezwa hakufuata utaratibu maalum, ambapo majibu yalitoka kwamba kiungo huyo bado ni mchezaji halali wa timu hiyo.
Taarifa zinabainisha kwamba, awali katika kesi hiyo, Fei Toto alikuwa anasimamiwa na wanasheria wawili, Makubi Kunju Makubi na Ndurumah Keya Majembe, lakini baadaye akaongezwa Fatma Karume ambaye ni mtoto wa rais mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume na mjukuu wa rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: [ Ссылка ]
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:[ Ссылка ]
⚫️ iOS:[ Ссылка ]
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: [ Ссылка ]
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: [ Ссылка ]
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: [ Ссылка ]
⚫️ GLOBAL RADIO TV: [ Ссылка ]
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: [ Ссылка ]
⚫️ Subscribe Global TV [ Ссылка ]
Ещё видео!