March 2 2017 Mbunge wa Dodoma na Naibu Waziri wa kazi, vijana na ajira Anthony Mavunde alikuwa anasherekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa ambapo aliamua kuungana na baadhi ya mastaa wakiwemo Ben Pol, Jux, Barakah Da Prince na MC Pilipili na kusafiri hadi katika kijiji cha Matumaini Dodoma kwa ajili ya kusherekea siku hiyo na watoto wasiojiweza.
Ещё видео!