Wapiga kura wa jimbo la Georgia hapa Marekani, wanajukumu muhimu na kubwa la kuamua nani atakua na mamlaka ya utawala katika bunge la Senate kwa miaka miwili ijayo wanapopiga kura hii leo. wapiga kura wanashiriki katika duru ya pili ya uchaguzi wa viti viwili vya baraza la Senate baada ya kutopatikana mshindi wakati wa uchaguzi mkuu wa Novemba.
Ещё видео!