WAZIRI JAFO AFIKA MONDULI kwa LOWASSA - AAPA KUNG'ANG'ANA na MRADI wa ENGARUKA...
Mradi wa Kimkakati wa Magadi Soda Engaruka kuanza hivi karibuni.
Waziri wa viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Suleimani Jaffo (Mb) amesema Serikali imetenga zaidi ya shilingi bilioni 14 kwa ajili ya kulipa fidia Wakazi wa Kata ya Engaruka wilayani Monduri Mkoani Arusha ili kupisha ujenzi wa Kiwanda cha magadi soda unaotarajiwa kuanza utekelezaji hivi karibuni.
Vilevile Waziri Jafo amewahakikishia wakazi wa eneo hilo kuwa, kila anayestahili kulipwa fidia atapewa haki yake na kuwaasa kuacha udanganyifu kwenye ulipwaji wa fidia kwa kuwa Serikali ilishafanya uhakiki wa majina kwa wale wote wanaostahili kulipwa..
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉[ Ссылка ]
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: [ Ссылка ]
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: [ Ссылка ]
⚫️ GLOBAL RADIO TV: [ Ссылка ]
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: [ Ссылка ]
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: [ Ссылка ]
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:[ Ссылка ]
⚫️ iOS:[ Ссылка ]
Ещё видео!