St Pauls Student Choir, Chuo Kikuu cha Nairobi tunawakaribisha kutazama wimbo huu ambao ni wa ndoa unaowahimiza wanandoa kumtafuta Mungu ili kuishi maisha yanayompendeza siku zote.
Wimbo: Mkazae Matunda Mema
Mtunzi: Ray Ufunguo
Waimbaji: St Pauls Student Choir
Audio and Video: Rajo Productions
Kindly share, like, comment, and subscribe
Ещё видео!