'' Nilikua nasafiri nje ya nchi kwa sababu za kikazi kama mara 26 kwa mwezi... Sikuwa na muda wangu binafsi... Baadaye nilianza kufadhaika, kulia bila sababu.
Rafiki alinishauri niwe na muda wa kupumzika na kupata ratiba ya maisha yangu'' Bi Nabou Fall kutoka Senagal anashauri umuhimu wa kukimu majukumu.
#afya
#Afyayakiakili
#Maisha
Ещё видео!