Kenya itafanya uchaguzi wake mkuu tarehe 9 Agosti mwaka huu. Kwaya ya Mtakatifu Kizito, Makuburi-Dar es Salaam, Tanzania imealikwa na Jimbo Kuu la Nairobi kushiriki misa maalum ya kuombea amani wakati na baada ya uchaguzi mkuu.
Wimbo huu ni mwaliko kwa wakenya na wote wenye mapenzi mema kujumuika pamoja ili kuwaombea wakenya amani wakati wa zoezi hili muhimu. Karibuni!
Kenya goes to the General Election on 9th August this year. St Kizito Choir from the Blessed Anuarite Parish-Makuburi, Dar es Salaam,Tanzania has been invited by the Archdiocese of Nairobi to join Kenyans in praying for peace during and after the elections.
This song is to invite all Kenyans of good will to come together as we ask God to bless Kenya and Kenyans as the country enters into this important exercise. Enjoy!
Like, Subscribe, Share
#AmaniYakoAmaniYangu
#KmkGalaNairobi
#UtumeUendelee.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: [ Ссылка ]
Ещё видео!