Tume ya maadili na vita dhidi ya ufisadi (EACC) inachunguza zaidi ya kesi 150 za kughushi vyeti vya masomo vya baadhi ya wafanyakazi wa umma. Naibu afisa mkuu mtendaji wa tume ya EACC Abdi Mohammud aliyefika mbele ya kamati ya bunge kuhusu utekelezaji wa katiba alisema kesi 13 zingali mahakamani. Na jinsi ripota wetu Abdiaziz Hashim anvyotuarifu, tume ya EACC imekabidhiwa agizo la mahakama la kufuatilia mishahara na marupurupu ya wafanyakazi waliotumia vyeti ghushi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channell: [ Ссылка ]
Follow us on Twitter: [ Ссылка ]
Find us on Facebook: [ Ссылка ]
Check our website: [ Ссылка ]
#kbcchannel1 #TheGreatKBC
Ещё видео!