Wimbo huu wa Mke Mwema ni moja ya nyimbo zilizo katika album ya Wimbo wa Sifa Album hii ni kwa kumbukumbu ya Marehemu Francisca Haule aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwaya. Ilimpendeza Mwenyezi Mungu kumchukua kwake Mbinguni tukiwa katikati ya kuandaa kazi hii. Tunamuombea kwa Mungu ampe pumziko la milele (Kwaya ya Mtakatifu Anthony wa Padua Parokia ya Mt. Cecilia - Ndachi Jimbo Kuu la Dodoma)
Ещё видео!