Mawakili Prof. Githu Muigai na Kamau Karori wamekosoa shtuma dhidi ya mwenyekiti wa tume ya IEBC Wafula Chebukati kwamba alikiuka katiba kwa kumtangaza William Ruto kuwa rais mteule kwenye uchaguzi mkuu wa hivi majuzi. Wawili hao ambao wanamwakilisha Chebukati pamoja na tume ya IEBC pia wamewakosoa walalamishi kwa kudai kuwa kulitokea udanganyifu katika uchaguzi mkuu wa urais huku wakisema kwamba madai hayo hayana msingi na hayana ushahidi wa kutosha.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: [ Ссылка ]
Follow us on Twitter: [ Ссылка ]
Find us on Facebook: [ Ссылка ]
Check our website: [ Ссылка ]
#KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News #wafulachebukati #mahakamayaupeo
Ещё видео!