[ Ссылка ]
Janga la mihadarati limerejea kufuatia kile wataalam wanahoji ni serikali kushindwa kukabiliana na walanguzi wanaouza dawa hizo. Zaidi ya 30% ya watumizi wa mihadarati waliojirekebisha wamerejelea tena uraibu huo. Sasa wataalam wanajadili hoja ya kuwapa watumizi sugu wa mihadarati, sindano ili wasieneze ukimwi kati ya wenyewe kwa wenyewe. John Juma anapiga darubini tulikotoka na tunakoelekea, katika makala ya jumamosi.
Ещё видео!