PAUL MIKE MSOKA aliyezaliwa akiwa anaona na baadae kupoteza uwezo wa kuona takribani miaka 30 iliyopita, anamshkuru Mungu kwa zawadi ya maisha. Pamoja na changamoto aliyonayo, amekuwa akimtumikia Mungu kwa njia yauimbaji. Wimbo huu uitwao CHEMCHEMI YA FARAJA ni miongoni mwa nyimbo alizotunga kuonesha faraja aipatayo kwa kumtumikia Mungu. Kwaya ya Moyo Mtakatifu wa Yesu ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam ndio waimbaji wa wimbo huu ambayo pia ndio kwaya anayoimbia ndg. Paul Mike Msoka.
Tuungane na waimbaji hawa katika kumshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha.
Album hii inajulikana kwa jina la CHEMCHEMI YA FARAJA na ipo madukani sasa. Wasiliana nao leo kupitia namba hizi
+255 686 477 188 au +255 767 294 103 au +255 767 265 930
#kwayakatoliki
Ещё видео!