Itukuzwe Damu ya Kristo! - Milele Amina!◻️Karibu Mwanafamilia ya St. Gaspar Media!◻️Hili ni Channel maalum inayomilikiwa na Seminari kuu ya Mt. Gaspari del Bufalo, Ipo mahususi kwa ajili ya kushare Taarifa mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Mafundisho ya TASAUFI YA DAMU AZIZI YA YESU , Uinjilishaji kwa njia ya Tafakari za Kila Siku, Nyimbo za Dini,na matukio mbalimbali ya Kanisa Katoliki ambayo tutakuwa tunayaweka katika Channel yetu ya YouTube @st.GasparMajorSeminary◻️Pia kama utakuwa na Swali lolote kuhusu Damu Azizi ya Yesu, Shirika la Damu Azizi ya Yesu, Kumfahamu Mt. Gaspari del Bufalo unaweza kuuliza na kupata majibu humu.Karibu sana tushirikishane Tone la Upendo!MAWASILIANO 📱 +255 715 999 802📧Stgasparmajorseminary@gmail.com @st.GasparMajorSeminary #St. Gaspar Media Ndoto_inaendelea
Ещё видео!