Karibuni wapenzi watazamaji wa JUGO MEDIA leo tunakuletea matukio na perfomance zote zilizofanywa katika Tamasha la MARIHOLIDAY lililoandaliwa na kuratibiwa na RADIO MARIA TANZANIA. Tamasha hilo limefanyika tarehe 29 Desemba 2019 katika viwanja vya shule ya Sekondari Loyola. Baadhi ya perfomance zilizofanyika ni kama ifuatavyo
1. Asili Drama
2. Adventina Elias
3. Despina Mdende
4. Daniel Ling'wetu
5. The Voice Tanzania
6. Philharmonic
7. Kwaya ya Mtakatifu Philomena Mabibo Hostel UDSM
8. Kwaya ya Mtakatifu Malaika Gbrieli Segerea
9. Kwaya ya Mtakatifu Cesilia
10. Kwaya ya Mtakatifu Kizito Makuburi
11. Kwaya ya Bikira Maria Mama wa Mungu, Yombo Vituka
Mawasiliano:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
Ещё видео!