Baraza la Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Tabora wametoa tamko la kumpongeza Mh RAIS SAMIA kwa kazi kubwa anayofanya ya kuleta maendeleo kwa watanzania wote bila kujali itikadi zao za kisiasa .Akisoma Tamko la Baraza la Wazazi Mkoa wa Tabora Ndg GHULAM DEWJI Mkt wa Wazazi Mkoa amesema kutoa Elimu bure kuanzia Darasa la kwanza mpaka kidato cha Sita,ujenzi wa Miundombinu ya Barabara,maji Afya Umeme, Wao kama Bazara la Wazazi wanaahidi na wamejipanga kuyazungumza na kuyasemea mazuri .
Ещё видео!