SIRI MUJARABU YA SURAH HII KATIKA KUKUPA UTAJIRI MKUBWA | SIRI ZA QURAN TUKUFU | Mohamed Alidini
Katika video hii tunaelezea Siri za Surah hii katika kukupa Utajiri Mkubwa. Hii ni Siri kubwa kwa kuwa inafungamana na Quran ambayo ni kitabu cha Allah (SWT) kisichokuwa na shaka yoyote. Ni matumaini yangu kuwa utafuata maelezo yake ili uweze kufikia malengo yako yote.
Maelezo yake:
Surah: AL-WAQIAH
Ayah: KAMILI
-----------------------------------------------------------------------------------------
Utaratibu wake:
Kuwa na Yaqeen kuhusu siri na faida za Qur’an Tukufu
Kuwa na Udhu na Kuelekea Qibla
Soma Surah Al-Waqiah yote mara moja.
Soma (Taja) Majina Mawili Matukufu ya Allah (SWT) mara 1000.
Usome kila siku.
------------------------------------------------------------------------------------------
Shukran kwa kujisajili Channel yangu!
----------------------------------------------------------------------------------------
Copyright Notice:
► Every content we made are licensed to our channel.
► All audios, videos and images are copyrighted and fully licensed.
► Elements used in this video are edited by us are copyrighted and fully licensed.
► So, you do not have permission to use or reupload our content without our permission.
Copyright © 2024 Mohamed Alidini. All rights reserved.
**********************************************************************
Ещё видео!