▪︎ Wimbo wa Shukrani kwa Mungu wakiti Adhimisho la Misa Takatifu la Shirika la Kimisionari la Kipapa la Utoto Mtakatifu kutoka Dekania ya Pugu, Jimbo kuu la Dar es salaam.
▪︎ Ni kutoka Parokia ya Mtakatifu Stephano Shahidi Kisarawe Dekania ya Mtakatifu Fransisco wa Asizi Pugu Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
▪︎ Misa Takatifu inaadhimishwa na Padre Christopher Nchebele Mlezi wa Shirika la Kimisionari la Kipapa la Utoto Mtakatifu kwa Dekania ya Mtakatifu Fransisco wa Asizi Pugu Jimbo kuu la Dar es Salam Raha ya Utume kushirikiana 💒🙏🏾
Ещё видео!