Timu ya Walima Alizeti Singida Big Stars imesema Imejiandaa Kufanya Usajili Mkubwa Zaidi katika Dirisha Dogo Baada ya kujinasua Kwenye Kifungo cha Kutosajili Wachezaji.
Timu Hiyo Ikubukwe Ilipewa Adhabu hiyo na Shirikisho la Soka Nchini Baada ya Kutuhumiwa Kumsajili Metacha Mnata Akiwa Bado na Mkataba na Waajiri wake wakati huo Polisi Tanzania.
Msemaji wa Timu hiyo Hussein Masanza Amesema Baada ya Kukwepa Adhabu hiyo wanalenga Kusajili Bunduki za Maana zaidi katika Dirisha Dogo.
Cc @irundetz
#irundereports
Ещё видео!