Mwalimu,Mwanahabari na Mwanasheria, John Mlyambate akiomba ridhaa kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mjini,ili apate ridhaa ya kugombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi. Katika Uchaguzi wa mwaka 2020,zoezi la kura za Maoni lilifanyika tarehe 20/07/2020.
Ni tukio la kihistoria katika maisha yangu,nilipata funzo katika zoezi hili na nitalikumbuka daima tukio hili.
Maisha ya wanasiasa ni maisha mazuri na mabaya endapo utazicheza karata zikakubali. Nawashukuru wajumbe wote wa Mkutano Mkuu wa wilaya wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Shinyanga Mjini kwa yote. Mungu Ibariki Tanzania,Mungu Ibariki Shinyanga.
Ещё видео!