Washikadau Katika Sekta Ya Elimu Kutoka Kaunti Ya Embu Wamelalamikia Kuongezeka Kwa Visa Vya Mimba Za Mapema Na Maambukizi Ya Virusi Vya Ukimwi
Hasa Miongoni Mwa Wanafunzi Wa Umri Wa Kati Ya Miaka 10-14. Wadau Hao Ambao Wamezungumza Katika Mkutano Eneo La Mbeere Kaskazini Wamesema Kuwa Inahuzunisha Kuona Wanafunzi Wakifanyia Mitihani Ya Kitaifa Hospitalini Huku Wakitoa Wito Kwa Wazazi Na Jamii Kwa Ujumla Kutoa Hamasisho Kwa Watoto Kuhusiana Na Athari Za Mimba Za Mapema.
Ещё видео!