Wanaharakati wa haki za binadamu wanataka serikali kudhihirisha inajibidiisha kuwalinda wanawake na wasichana dhidi ya dhulma za kimapenzi wakati wa kipindi cha uchaguzi. Kundi la Mulika Wabakaji ambalo linayaleta pamoja zaidi ya mashirika 30 ya kijamii limesema wanawake na wasichana walikabiliwa na dhulma za kimapenzi kwenye chaguzi zilizopita hali ambayo sharti iepushwe.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: [ Ссылка ]
Follow us on Twitter: [ Ссылка ]
Find us on Facebook: [ Ссылка ]
Check our website: [ Ссылка ]
#KBCchannel1 #dhulumazakijinsia #hakizabinadamu
Ещё видео!