Makamu Mwenyekiti wa Chama Makini Taifa Grace Ngonyani amesema chama hicho kinampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayoifanya kuiendeleza Tanzania katika sekta mbalimbali
Ngonyani amesema hayo wakati anazungumza na wanahabari katika Ofisi za Chama hicho zilizopo Mjimwema Manispaa ya Songea
Ещё видео!