Karibu mpenzi mtazamaji wa JUGO MEDIA leo tunakuletea performance zote za kwaya mbalimbali kutoka Jimbo Kuu la Dar es Salaam na majimbo mengine tanzania zilizofanyika katika Tamasha kubwa la uimbaji Tamasha la Yesu ni Mwema 2019 al maarufu kama TYM 7. USISAHAU KUSHARE LIKE COMMENT NA PIA KU SUBSCRIBE KATIKA CHANNELL YETU ILI USIPITWE NA MATUKIO MENGI MAZURI.
PERFOMANCE ZILIKUWA KAMA IFUATAVYO
1. BMM YOMBO VITUKA
2. BMTL KIWANJA CHA NDEGE DODOMA
3. ALOYCE GONZAGA KIGAMBONI
4. MT KIZITO MAKUBURI
5. ANUARITE MAKUBURI
6.JMOZ MOSHI
7. ALOYCE GONZAGA MABIBO
8. DON BOSCO KIMANGA
9. CECILIA MAKUBURI
10. DESPINA
11. PHILHARMONIC
12. KATARINA WA SIENA KAWE
13. MARIA GORETH MBAGALA
14. MALAIKA GABRIELI SEGEREA
14. QUADRI V (FAMILIA YA BERNAD MUKASA)
Ещё видео!