DALILI HATARI ZINAZOTOKEA KWA MAMA MJAMZITO
1. Kutokwa na damu ukeni
2. Maumivu makali ya tumbo
3. Kutapika kupita kiasi
4. Maumivu makali ya kichwa
5. Kuvimba miguu mikono au uso
6. Kupoteza fahamu
Kupata matibabu haraka katika hali hizi ni muhimu sana kwaajili ya afya ya mama na mtoto.
Tembelea ukurasa wa youtube kupitia link
[ Ссылка ]
Ещё видео!