Katika Kudhibiti na Kupambana na Uhalifu wilayani Temeke, Mkuu wa Wilaya hiyo Jokate Mwegelo amesema wanatarajia kuweka Taa nje ya eneo la Uwanja wa Benjamini Mkapa.
Akizungumza wakati wa ziara yake katika maeneo mbalimbali wilayani humo ikiwemo eneo hilo la uwanja, DC Jokate amesema haipendezi kuona vitendo vya uhalifu vinafanyika nje ya uwanja huo na jirani na Ofisi za Mkuu wa Wilaya.
DC Jokate ameyasema hayo leo wakati wa ziara yake katika eneo hilo na kisha Kutembelea Hospitali ya Mbagala Rangi Tatu.
Ещё видео!