#SuraYaTanzania
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema ilani yake ya uchaguzi (2020-2025) ni kubwa zaidi kuwahi kuandikwa na chama hicho kwa sababu mambo yote ambayo walikusudia kuyatekeleza miaka ijayo wameyaweka kwenye ilani ya sasa ili mgombea wao, Dk John Pombe Magufuli akishinda ayatimize yote,' amesema Katibu wa Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole.
Ещё видео!