Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, John Heche leo Januari 05,2024, ametangaza rasmi kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA. Heche amemuunga mkono Tundu Lissu anayegombea nafasi ya uenyekiti CHADEMA, akitegemewa kuchuana na Freeman Mbowe
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: [ Ссылка ]
INSTAGRAM: [ Ссылка ]
FACEBOOK: [ Ссылка ]
TIKTOK: [ Ссылка ]_...
Au tembelea tovuti yetu: [ Ссылка ]
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.
Ещё видео!