Chama cha Jubilee sasa kinamhimiza spika wa bunge la taifa Justin Muturi ajiuzulu wadhifa wake baada ya kujiunga na muungano wa Kenya Kwanza. Katibu mkuu wa chama hicho Jeremiah Kioni amesema kuwa ingawa hawawezi kumwondoa mamlakani, Muturi anafaa kujiuzulu baada ya kukoma kumuunga mkono rais Uhuru Kenyatta na chama cha Jubilee
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: [ Ссылка ]
Follow us on Twitter: [ Ссылка ]
Find us on Facebook: [ Ссылка ]
Check our website: [ Ссылка ]
#Jubilee #KenyaKwanza #JustinMuturi #Politcs
Ещё видео!