🔴Timu ya Mpenja TV, tupo Uwanja wa Ilulu Lindi kutoa taarifa zote za kabla na baada ya mechi kali ya ligi kuu ya NBC kati ya wenyeji Namungo FC na Vinara Yanga SC.
Nani kuibuka na ushindi?…mambo ni moto moto🔥
Endelea kutufuatilia, tuko tayari kukuhudumia kwa weledi mkubwa.
#NamungoFC #YangaSC #NamungovsYanga #MpenjaTV
Ещё видео!