Polisi mjini Mombasa wanawachunguza watu wawili waliokamatwa Jumanne katika mtaa wa Kisauni ambao wanadaiwa kuwa wafanyibiashara wa dawa za kulevya. Inasemekana Wawili hao ni miongoni mwa kundi la walanguzi wakuu wa mihadarati humu nchini .
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and every day. Get the news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Ещё видео!