Uninyunyizie maji (Bwana) *2
Unioshe nitakate (kweli) Niwe mweupe kabisa *2
Mimi ni mwenye dhambi (Bwana) *2
Unioshe nitakate (kweli) Niwe mweupe kabisa *2
Natamani nije kwako (Bwana) *2
Unioshe nitakate (kweli) Niwe mweupe kabisa *2
Naingia nyumba yako (Bwana) *2
Unioshe nitakate (kweli) Niwe mweupe kabisa *2
Niuone uso wako (Bwana) *2
Unioshe nitakate (kweli) Niwe mweupe kabisa *2
Nifurahi milele (Bwana) *2

Ещё видео!