Karibu mpenzi mtazamaji wa JUGO MEDIA leo tunakuletea Perfomance mbalimbali zilizofanyika katika Tamasha la Stephano Day lililoandaliwa na Parokia ya Mtakatifu Stephano Buguruni. Tamasha hilo lilifanyika tarehe 26 desemba 2019 Buguruni na lilihusisha kwaya mbalimbali kutoka Jimbo kuu la Dar es Salaam, na kwaya hizo ni kama ifuatavyo:-
1. DESPINA
2. Kwaya ya Josephine Bakhita - Pugu
3. Kwaya ya Familia Takatifu - Buguruni
4. Kwaya ya Kizito - Makuburi
5. Kwaya ya Mt. Stephano - Buguruni
6. Kwaya ya Anthony wa Padua
7. Kwaya ya Xavery - Chang’ombe
8. Kwaya ya Vijana
9. Kwaya ya Malaika Gabriel - Segerea
10. Kwaya ya Upendo wa Moyo - Buguruni
11. Kwaya ya Maria Goreth - Mbagala
Mawasiliano:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
Ещё видео!