Shirika la umeme Zanzibar ZECO limejinasibu kukusanya zaidi ya shilingi milioni 400 za madeni kutoka kwa watumiaji mbalimbali wa nishati hiyo. Hayo yameelezwa na meneja mkuu wa ZECO Hassan Ali Mbarouk mara baada ya kutiliana saini na kampuni ya MASSCOM ya kuanza kutoa huduma ya kuuza umeme kwa njia ya kieletroniki.
Ещё видео!