Hali ya utulivu imeanza kurejea katikati mwa jiji la Nairobi huku biashara kadhaa zikifunguliwa baada ya shughuli kukwama kabisa hapo jana. Wafanyibiashara wanasema walipata hasara kubwa kutokana na hofu ya maandamano. Katika mitaa ya Kawangware na Kangemi ambapo waandamanaji na polisi walikabiliana siku ya Jumatano, hali ya utulivu ilirejea huku maafisa wa usalama wakishika doria kutwa nzima
Ещё видео!