Badiliko la Maisha ya Mwanadamu hutegemea Neema, Fadhili na Baraka Kutoka kwa Mungu. Yapo maisha ambayo wanadamu tunaishi pasipo kusikia Sauti ya Mungu uelekeo wa Maisha yetu ni Bure lakini tukimtumainia Mungu na Kuisikia Sauti yake Tuna neemeshwa na Kubadilishwa na kufanywa kuwa Watu wapya hata katika Jamii. "MUNGU AMENIONA"
Kumbukumbu la Torati 28:2-10 (Barikiwa na Neno hili)
Video Directed by: AP Creative
Audio Produced by: Mixing Doctor
Get it on ALL DIGITAL PLATFORMS
Listen to MUNGU AMENIONA by Kibonge Wa Yesu
On Boomplay: [ Ссылка ]...
On Audiomack: [ Ссылка ]...
©2024 KiboMelodies. All rights Reserved.
#Kibongewayesu #MunguAmeniona #GospelMusic
Ещё видео!