Watu watano wameuwawa na jeshi la Polisi mkoani Kigoma kwa tuhuma za ujambazi katika Kijiji cha Kitahana Wilayani Kibondo mkoani Kigoma.
Kamanda wa Polisi Mkoani Kigoma ACP James Manyama amesema tukio hilo limetokea usiku wa Saa 5 kuamkia leo katika barabara kuu itokayo Kibondo kwenda Kasulu eneo la Kibaoni katika Kijiji cha kitahana.
Ещё видео!