Kutengeneza Business Plan ni sawa na dira inayo kuongoza jinsi ya kupanga, kuendesha na kusimamia #biashara mpya
Business Plan nzuri ni ile inayokuongoza kuanzia hatua ya mwanzo ya kuanzisha biashara na usimamizi wa biashara kwa ujumla.
Business Plan pia inaweza kusaidia kupata mkopo kutoka benki, wawekezaji au wahisani. Wawekezaji wanahitaji kuhakikishiwa kuwa wanawekeza kwenye biashara ambayo inaweza kurudisha fedha iliyo wekezwa.
Business Plan nzuri ni ile inanoyoweza kuwashawishi wawekezaji,benki na wahisani kutoa fedha zao kusaidia kuanzisha mpya au kupanua biashara ya zamani.
Video hii inaeleza mambo 8 muhimu ya kuzingatia wakati unatengeneza business plan ya mgahawa mpya.
1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Tan Business Online School: [ Ссылка ]
3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
5. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: [ Ссылка ]
Instagram: [ Ссылка ]
YouTube: [ Ссылка ]
#jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali
Jinsi ya kutengeneza Business Plan ya mgahawa
Теги
business planbusiness plan ya dukabusiness plan ya mgahawabusiness plan ya duka la stationerybusiness plan ya duka la vinywajibusiness plan ya biashara ya nguobusiness plan ya nguo za mitumbabusiness plan ya biashara ya sembebusiness plan ya biashara ya bajajbusiness plan ya biashara ya bodabodabusiness plan ya duka la vipodozibusiness plan ya salonbusiness plan tempalteAli mwambola