Naibu rais William Ruto ameunga mkono kujumuishwa kwa hazina ya urekebishaji tabia kwa waraibu wa dawa za kulevya katika bima ya kitaifa ya matibabu.Naibu rais amesema hatua hiyo itasaidia kuhakikisha kuwa waraibu zaidi wa dawa za kulevya wananufaika na huduma ya urekebishaji tabia.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: [ Ссылка ]
Follow us on Twitter: [ Ссылка ]
Find us on Facebook: [ Ссылка ]
Check our website: [ Ссылка ]
#KBCchannel1 #KBCNews #Kenya
Ещё видео!