#PAPI_CLEVER_DORCAS
#Fanyia_Mungu_kazi
#NYIMBO_ZA_WOKOVU
#INDIRIMBO_ZO_MU_GITABO
#MORNING_WORSHIP
Audio Producer : Papi Clever
Video Director : MUSINGA
Video Editor : Cyusa
Dressing :
F&Y CHIC BUILDING
Imana iguhe umugisha, Wifuza kutugira inama cg gutera inkunga umurimo w'Imana dukora Cg ibitekerezo watwandikira kuri
Email : Cleverpapi18@gmail.com
Number 186
NYIMBO ZA WOKOVU
1
Fanyia Mungu kazi, mbio usiku waja!
Mtumikie Mungu siku zako zote!
Anza mapema sana, dumu mchana kutwa!
Mbio usiku waja, kazi itakwisha.
2
Fanyia Mungu kazi kama kungali jua,
usipoteze bure siku zako huku!
Uyatimize yote bila kukosa neno!
Mbio usiku waja, kazi itakwisha.
3
Fanyia Mungu kazi, saa yapita mbio!
Fanya bidii sana kuokoa ndugu!
Mtumikie Mungu kwa nguvu yako yote!
Mbio usiku waja, kazi itakwisha.
Ещё видео!