#PAPI_CLEVER_DORCAS
#NYIMBO_ZA_WOKOVU
#SIKU_MOJA_MAVUNO
#INDIRIMBO_ZO_MU_GITABO
#MORNING_WORSHIP
Audio Producer : Papi Clever
Video Director : MUSINGA
Drone : SABEY
D.o.p ; Musinga, Chrispen
Video Editor : CYUSA
colorist : CYUSA
Location manager : Rutikanga Alex
location ; NYAGATARE - Rwanda - UGANDA Border
NYIMBO ZA WOKOVU
No 179
SIKU MOJA MAVUNO
Siku moja mavuno yataisha kabisa, - One day the harvest will end completely,
baada ya hayo hukumu. - after that judgment.
Jua litazimika siku hiyo ya mwisho, - The sun will shut down on that last day,
na hutasikia injili. - and you will not hear the gospel.
Atakusanya ngano - He will gather wheat
kwa furaha ghalani, - joyfully into the barn,
bali makapi yote yatatupwa motoni. - but all the stubble will be thrown into the fire.
Rafiki, utakuwa wapi? - Friend, where will you be?
Mahubiri na nyimbo za wokovu wa Mungu - Sermons and songs of God's salvation
zitakaponyamanza huku, - when they become silent here,
uliyelikataa neno zuri la Mungu, - You who rejected the good word of God,
utakaa wapi milele? - where will you stay forever?
Watu wote wa Mungu wafikapo mbinguni - When All God's people came to heaven
kukaa pamoja na Yesu, - to stay with Jesus,
wataimba kabisa kwa sauti ya nguvu - they will sing with a loud voice
kumshangilia Mwokozi. - to rejoice in the Savior.
#kenyagospel #tanzaniagospel #swahiligospel #swahilimusic #kenyangospel #congogospelmusic Alka Mbumba #kenya #kenyadigitalnews #RoseMuhando #SecretAgenda #Gospsongs #Gospelmusic2022 #Jesus
#kelsykerubo #rosemuhando #msanii_music_group
Kelsy Kerubo
rose muhando song
Ещё видео!