Caption: Tanzania Network for People Who Use Drugs (TaNPUD) Inaungana na mataifa duniani katika Siku ya Kupinga Dawa za Kulevya au siku ya Maadhimisho ya Siku ya Dawa za Kulevya Duniani.
Kama mtandao wa watumiaji wa dawa za kulevya Tanzania tunatambua kuwa na sera za dawa za kulevya zinazoangalia Afya ya mtumiaji wa dawa za kulevya, kupinga unyanyapaa na kuhakikisha wanafikia huduma za upunguzaji Madhara.
Tunasema , #supportdontpunish#
Saidia, Usiadhibu!
Ещё видео!