Nguzo ya Familia ni kipindi kinachoelezea kwa kina zaidi namna sahihi na bora katika malezi ya mtoto wa kiume. Namna nzuri ya kumuandaa mtoto wa kiume kuja kuwa Baba bora na Nguzo Imara ndani ya familia.
Mchungaji Betson Kikoti anafundisha kwa undani zaidi somo hili la MALEZI YA MTOTO (Mtoto wa Kiume).
Wazazi/Walezi hii ni nafasi yako/yenu kufuatilia kwa ukaribu na kujifunza yawapasayo ninyi kuyatenda ili kumuandaa mtoto wa kiume aje kuwa Baba bora au Nguzo imara ya familia yake ya baadae.
Fuatilia kwa urefu zaidi wa kipindi hiki kupitia Trenet Television kila siku ya Jumatatu kuanzia Saa Mbili na nusu (2:30) Usiku.
#TrenetTelevision #trenettv #NguzoYaFamilia
Ещё видео!