Wananchi wa Tandika walipata fursa ya kufikisha changamoto za bima ya afya ya jamii - CHF Iliyoboreshwa kwa mratibu wa bima hiyo katika kipindi cha WanawakeLive mtaani kwako tulichokifanyia Tandika Dar
Je wewe ni mwanachama wa bima ya CHF Iliyoboreshwa? Kuna feedback yoyote ungependa kuiwasilisha kwa wahusika?
WanawakeLive Mtaani kwako ni msimu mwingine tena ambao tunafanya vipindi vyetu kwenye mitaa mbalimbali kwa lengo la kupeleka fursa za Uwezeshaji wanawake kiuchumi na kijamii.
Karibu uungane nasi kwenye harakati zetu za kuwakomboa wanawake kwenye jamii yetu.
Ещё видео!