Mrengo wa Azimio ukiongozwa na Kalonzo Musyoka unaitaka serikali kusitisha mara moja utekaji nyara ukisema ni hatia kubwa kumteka mkenya nyara baada ya hatua hiyo kusitishwa na mahakama na ni dalili za urejeo wa uongozi wa kiimla ambao wanasema wakenya waliumaliza miaka iliyopita.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Ещё видео!