Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa leo akiambatana na Mkurugenzi wa shirika la viwango Tanzania (TBS) Dr Yusuph Ngenya na Kaimu Mkurugenzi wa Mkuu wa TMDA Akida Khea wametembelea kiwanda cha Pristine Manufacturing Limited kilichopo Vingunguti jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kukagua uzalishaji wa barakoa (Mask) ambao umekuwa na uhitaji mkubwa kwa sasa na kupanda bei sababu ya mlipuko wa virusi vya corona.
Ещё видео!