Dodoma Jiji FC imepata ushindi wake wa kwanza dhidi ya mashujaa FC, ikiitandika 3-1 kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma.
Magoli ya Dodoma Jiji yametoka kwa Mwana David Kibuta, Lulihoshi Heritier na Zidane Sereri huku goli pekee la kufuti machozi kwa Mashuja likifungwa na Crispin Ngushi....
Hii ni Ligi Kuu ya NBC tanzania Bara #NBCPremierLeague
Ещё видео!