Festo S. Amos ni mkufunzi wa elimu ya fedha, anatoa mafunzo na seminar za fedha kwenye makongamano, Kanisani, vikundi, kampuni na taasisi juu ya mada elimu ya fedha, nidhamu ya fedha, mikopo na madeni, akiba na uwekezaji.
Amefanya kazi na vituo vya radio na Tv kama TBC, Azam TV, EFM, Kiss Fm nk.
Ameandika vitabu vya fedha kikiwemo 1.Nguvu Ya Pesa 2.Mwongozo wa nidhamu ya fedha 3.Sheria za fedha.
Vyote vinapatikana kwa softcopy na hardcopy.
Kuweka booking ya seminar tumia namba 0766181367
Na kupata vitabu vyake tumia namba hiyo hiyo.
Mfuatilie zaidi kwenye mitandao ya kijamii...
Instagram @festoamos_tz
You tube @Festo Amos
Facebook @Festo S. Amos
Learn more to earn more.
LIVE A GREAT LIFE.
#nguvuyapesa #pesa #festoamos
Ещё видео!