Faida za tikiti maji, faida za tikiti maji mwilini, faida za tikiti maji kiafya.
Faida 10 za tikiti maji mwilini, tikiti maji linafaida nyingi kiafya, tutumie matikiti maji kupata nguvu za kiume, Tikiti maji ni tunda bora nashauri kula tikiti maji kila siku kwasababu tikiti maji linafaida nyingi hivyo kipaumbele katika mlo wako iwe ni tikiti maji kula tikiti maji leo, kula tikiti maji kesho kula tikiti maji kila siku.
Tikiti maji lina faida nyingi pamoja na kuwa ni chanzo kikuu cha Protini, Mafuta, Nyuzinyuzi, Wanga, Calcium, Phosphorus, Chuma,Vitamin A, B6, C, Potasium, Magnesium, Carotene, anthocyanins na Virutubisho vingine vingi.vyote ni faida ndani ya tikiti maji
Faida nyingine ya tikiti maji linasaidia kuwa na uwezo mkubwa wa kuimalika kwa misuli na mfumo wa fahamu kufanya kazi zake vizuri na kukuondoa katika hatari ya kupatwa na shinikizo la juu la damu.
Tikiti maji na nguvu za kiume
Tafiti za karibuni zinasema karibuni zinaonyesha kila wanaume watatu mmoja na ana tatizo la kupungua kwa nguvu za kiume na dalili zinaonyesha idadi itaongezeka mara mbili miaka ya karibuni.
Kwa bahati nzuri madaktari na watafiti mbalimbali wameendelea kufanya utafiti juu ya suluhisho la tatizo hili kwa njia salama zisizo na madhara mengine baadaye.
Tikiti maji linasemwa kuwa ni mkuyati wa asili pia kama lilivyo parachichi. Kwenye tikiti maji kuna vitu hivi vitatu mhimu sana kwa afya ya mapenzi navyo ni ‘lycopene’, ‘beta-carotene’ na ‘citrulline’ ambavyo husaidiwa kuweka mishipa ya damu katika hali ya utulivu.
Tikiti maji ni viagra ya asili inayoweza kutumika kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa watu wa jinsia zote mbili bila kukuacha na madhara yoyote mabaya.
Kwenye tikiti maji hasa mbegu zake kuna kitu kingine kinaitwa ‘L-arginine’ ndicho ambacho huhusika na kuongeza nguvu za kiume. Mbegu za tikiti maji zimeonyesha matokeo mazuri katika kuimarisha nguvu za kiume hata kwa wazee kabisa.
Unachohitaji ni kula tikiti maji kila siku sambamba na mbegu zake na hutakawia kuona tofauti.
Ещё видео!